tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, September 30, 2010

Mama Anauza vocha?


Mtoto:- baba siku hizi mama anauza vocha?
Baba:- hapana, kwa nini unauliza hivyo mwanangu?
Mtoto:- jana usiku nimesikia ukimwambia mama akupe tigo.