tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, September 13, 2010

Nimesahau jina lake

Mbaruku alimtembelea rafiki yake kwa ajili ya chakula cha usiku. Tangu afike nyumbani hapo, rafiki yake akawa anamwita mkewe mara ‘sweet-haert’, ‘honey’ mara ‘dear’
Hongera sana Sheikh wangu, maana inapendeza kuona meishi kwa muda mrefu lakini bado mnaitana kwa mahaba.
Rafiki, acha tu, nilisahau jina lake ndio maana nikawa namwita kwa majina hayo.