tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, September 13, 2010

Masanja na sinema

Akitokea kijijini mara ya kwanza masanja alipelekwa sinema na binamu yake. Ilikuwa filamu inayohusu maisha ya chui. Baada ya dakika kadhaa Masanja alitoka mbio akielekea nje huku akipiga kelele, Anakuja! Anakuja!
Mlinzi wa jumba hilo alipata kazi ya ziada kumkimbiza. Alipomkamata akamwambia usikimbie hiyo ni filamu tu. Masanja akamjibu “ni wewe ndiye unafahamu hilo, na huyo chui anaelewa?”