tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, September 13, 2010

Zawadi nyingine bwana

Akiwa safarini kuelekea Italia, mwanamke mmoja alimuuliza mumewake ungependa nikuletee zawadi gani?
Mume wake alicheka, kasha akamjibu “msishana wa kitaliano”
Wiki mbili baadae alirudi nyumbani, mumewe akamuuliza. Vipi sasa kuhusu zawadi yangu?
Akamjibu “sawa nimejitahidi kadri ya uwezo wangu. Sasa tusubiri miezi tisa tuone kama atakuwa msichana.” Mume wake akabaki na mshangao.