tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, September 15, 2010

zinanisaidia kupata usingizi mzuri

Mzee mmoja alienda duka la dawa akataka auziwe dawa za mpango wa uzazi.
Muuzaji akashangaa sana mpaka akamuuliza we za nini?
Mzee: zinanisaidia kupata usingizi mzuri.
Muuzaji: mbona hazileti usingizi?
Mzee: ni kweli, ila nikishamtilia mke wangu kwenye juisi kabla hajaenda zamu ya usiku (night shift) kazini kwao, huwa Napata usingizi vizuriii.