tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, September 15, 2010

swali la kijinga

Hasira zilishaanza kumpanda moyoni mwa Juma, tangu asubuhi alipoanza kuvua samaki hadi mchana hajapata hata samaki mmoja. Suzi akatokea na kumuuliza, “hujapata samaki hata mmoja?”
Kwa kuhisi ni swali la kijinga, Juma akamjibu kwa upole, “nimewapata kibao ila nimewaachia waogelee kwanza”