tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, October 1, 2010

Mjomba

Mjomba kile kiitikio chako cha kunitumia vocha, ulikiimba vizuri sana ila zimpita siku nne mjomba tangu unipe ahadi yako. Mjomba, kuuzunguka mbuyu si kaz,i kazi ni kuukumbatia. Mjomba, kubeba kunai la misumari wakati una upara huo ni ujinga ni sawa na nazi kuvunja jiwe au kutawaza kabla ya kujisaidia, kuharisha sio kunya mjomba wala kujamba sio kupiga chafya. Usifananishe  suruali na msuli mjomba, aah natania tuu mjomba ila kweli ukipata buku nitumie vocha.