tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, September 29, 2010

Maswali Magumu

  • Kama pesa hazioti, mbona benki zinamatawi?
  • kama hairufusiwi kuendesha gari ukiwa umekunywa mbona bar kuna parking?
  • kama kweli gundi inaganda mbona haigandi kwenye chupa yake?
  • kama neno observation ni ufupisho mbona lenyewe refu?
  • kama serikali haiuzi madawa ya kulevia, mbona inajua bei zake?
  • kama kuoga ni usafi mbona taulo linachafuka?