Kuna jamaa mmoja alienda kula kwa mama ntilie, kumega tu tonge la kwanza akakuta mende maongezi yao yakawa hivi:
Jamaa: wee mama ntilie unaona kuna mende kwenye chakula!
Mama ntilie: Mende mwenyewe alikuwa amebaki huyo mmjoja tu, na mimi kwa kukupendelea nikakupa wewe lakini hata hivyo we utalipia chakula tu huyo mende usilipe.