tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, October 16, 2010

mnamuona huyu?

Kwa kutaka wanafunzi wake wa darasa la kwanza wanunue picha alizowapiga akiwa nao darasani, mwalimu alianza kuwashawishi kwa kuwaonyesha picha hizo na kuwaambia
Mwalimu:- si mnaona ukinunua halafu ukiwa mkubwa utawaonyesha watoto wako na kuwaambia ‘mnamuona huyu , huyu ni Fulani sasa hivi ni meneja wa shirika Fulani. Huyu naye ni Fulani na sasa ni waziri, watoto wenu watafurahi sana au vipi Jost?
Jost:- ni kweli mwalimu, tutawaonyesha na wewe pia na kuwaambia huyu alikuwa mwalimu wetu ambaye sasa ni marehemu