tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, October 1, 2010

kama British Air Ways

baada ya wiki 3 za harusi mama mtu anamuliza mwanawe wa kike vp maisha yako ya ndoa?
mtoto akijibu poa tu mama kama British Air Ways
mama mtu akatoka mpaka Air port akaenda kuangalia ratiba akakuta kwa wiki mara 7
na katika kila siku 1 inaenda trip 3 na katika kila trip 1 inasimama vituo 7 mama mtu
palepale akazimia.