tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, October 4, 2010

Mchaga alinunua mbuzi

Mchaga alinunua mbuzi, akamwambia mpishi “nusu ya nyama ipikie pilau, nusu nyingine itie kwenye friza, kichwa kichune 2tafanya supu na miguu 2tafanya mchuzi chukuchuku, ngozi yake usiitupe tutafanya mkeka, utumbo tutapika na ndizi, mifupa tutawauzia wenye mbwa.” Mbuzi aliposikia akamuuliza, “mheshimiwa hutaki sauti yangu ufanye ringtone ya simu yako?”


By: Aisha