tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, October 4, 2010

hata kuku

Jamaa alikuwa anakaanga mayai. Akavunja la kwanza halikuwa na kitu. la pili halikuwa na kitu. la tatu hivyohivyo. akakasirika na kusema, "shenzi, hata kuku wanatumia condom!"