tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, September 19, 2012

Vipi Mvua Imeisha?

Kuna Jamaa alifiwa hivyo akaenda kununua jeneza, baada ya kulinunua akakodisha pick-uk 
na akakaa nalo. Njiani kuelekea msibani mvua ikanyesha sana, jamaa akaingia ndani ya jeneza kujikinga na mvua. Njiani watu waliomwomba dereva lift ili nao wafike msibani, wakapanda nyuma kwenye pick-up nao wakakaa nyuma pamoja na jeneza. Kufika kwenye foleni si jamaa akafunua jeneza akauliza "Vipi Mvua Imeisha?". watu wote ndukiii...