tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, September 19, 2012

DEGREE YA UDAKTARI CBE

Mvulana; Unasoma?
Msichana: Hapa sisomi, vipi wewe unasoma?
Mvulana: Ndo namalizia kidato cha nne jangwani
Msichana: Jamani hiyo si shule ya wasichana?
Mvulana: aah, sorry nimechanganya nipo kisutu
Msichana: Mweeembona nayo ya wasichana?
Mvunala:haah aah nilikua nakutania tu nachukua masters VETA
Msichana: ina maana VETA imeanza kutoa masters?
Mvulana: Ishia zako demu mwenyewe mbaya kama nini...unaniuliza maswali kama tupo uhamiaji?
KWA TAARIFA YAKO NACHUKUA DEGREE YA UDAKTARI CBE.