Wenzako wanapokea mshahara M3 kila mwezi na bado wako single,wewe unapokea mkopo wa chuo unatuambia unataka kuoa....!!
Ulitakiwa upigwe KOFI la kichwa tu restore settings.
#PumbavuKabisa
tangazo one

Abidal

karibuni
Sunday, September 11, 2016
Mkopo wa Chuo
Friday, September 9, 2016
STRESS NI NINI
Stress ni pale unapompa msichana lift halafu akazimia ndani ya gari yako na humjui wala hujui kwao. Ulimkuta tu njiani ukamsaidia.!
Noma zaidi ni pale unapoamua kumpeleka huyo msichana hospitali na akabainika ana mimba dokta akaanza kukupongeza kuwa unakaribia kuitwa baba!
Stress ya tatu ni pale unapokataa na kumwambia dokta mimba si ya kwako, mara ghafla msichana anazinduka na kudai mimba ni ya kwako?
Stress ya nne ni pale dokta anapoamua kukupima ili kuthibitisha, na baada ya vipimo anakwambia mimba si yako kwakuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba.!
Stress ya mwisho ni pale,, unaporidhika majibu ya doctor kuwa huna uwezo wa kumpa mwanamke mimba lakini unakumbuka nyumbani una mke na watoto wawili.....!!!!!!
Mtangazaji
Nimejisikia furaha sana leo nimewasha Redio nkasikia Mtangazaji wa KIKE ananambia "MPENZI MSIKILIZAJI NAKUPENDA SANA ENDELEA KUWA NA MIMI KTK KIPINDI CHANGU"!!
Nimefurahi sana ila bado cjampa jibu kama na mimi nampenda au la!!
Demu
Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndani...
KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH
Mbuzi wa IDD
Family walinunua mbuzi wa IDD kabla kwa miezi miwilli.
Mbuzi akawazoea sana hio family na akawa anakula nao na kulala nao.
Siku ya IDD ilipokaribia mbuzi aliingia nyumbani huku machozi yanamtoka
Akaulizwa kwa nini unalia?
Akasema majirani wote wamenunua mbuzi wa IDD isipokuwa sisi.
Mhudumu
Leo nilienda kula hotelin nikamkuta ex wangu analumbana na wahudum kumbe kala kashindwa kulipa ikabidi wampeleke jikoni akasaidie kumenya viazi ili wamsamehe deni! Asee ilinigusa mnoo nikamwita yule mhudumu nikampa hela wanunue gunia jingine la viazi
Kang'atwa na nyoka
mdada:- Bby naomba hela nimpeleke mdogo wangu hospital kang'atwa na nyoka
JAmaa:- embu mpe huyo nyoka simu niongee nae..
maisha yanakaba..
Hoteli
Kuna demU ameangusha kipochi leo, nikamwambia "Excuse me madam" akasema "I have a boyfriend" saa hii niko kwa hoteli nakula kuku••
#Maringo_sipendangi..
Salon
DADA alienda Salon wakati anasukwa akaingia MKAKA mtanashati, DADA akaamua kujaribu bahati yake.
DADA:Mambo?
KAKA:Poa.
DADA:Mimi na wewe tunaweza kuongea baade?
KAKA:Kuhusu nini?
DADA:Nimekupenda nataka nikutoe out.
KAKA:Sawa ila nitamwambia nini MKE wangu?
DADA:Aah ilo sio tatizo mdanganye tu,mwambie unakwenda kumtembelea rafiki yako hospitalini.
KAKA:Mwambie mwenyewe huyo hapo anayekusuka.Unajua nn kiliendelea?
Subiri ni chaji cm.
Thursday, September 8, 2016
Wanawake banaa..
Akikuta Pesa kwenye suruali wakati Wa kufua hata hasemii inaondoka kimya kimya ..ila akute kondom sasa izo kelele zake utajuaa kama ulioa mwanamke au kipaza sauti
Kutoka mahali.
Mungu anawaona
Sunday, September 4, 2016
Panya
Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya menoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mimi
Mwanafunzi
Unamtongoza mdada anakujibu et "bado nasoma" Dada kwani nimesema ukinikubalia ntakuchania Madaftari?
Tuesday, August 23, 2016
Chombo cha moto
Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na lessen sasa lakini nashangaa wauza kahawa hawawakamati wakati wanatembea na vyombo vya moto barabarani
Sunday, August 7, 2016
My x
Et jana nmemtext *X* wangu *Hi*...et aka update status whatsapp yake "I am happy without you"
wakati mie nlitaka kumwambia tuu nmemwona baba ake mjini kavaa koti langu... I WANT IT BACK.
Saturday, July 9, 2016
Mwizi
Huku kwetu Mwizi Kapigwa Mpaka Wamemkata Mkono wasamaria Wema Wakamsaidia Kumpeleka Hospital Wakati Doctor Anamhudumia Akawa Ameenda Kuchukua Nyuzi Kurudi mwizi Hayupo Kaamsha na Simu Ya Doctor Na Mkono Kawaachia