ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.
Thursday, January 29, 2015
kitu gani unataka.
Unamuuliza msichana wako kitu gani anataka, anakujibu pesa
unakasirika. Ni suala la ufahamu na uelewa tu.