tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, July 23, 2015

Sura mbaya

MGONJWA : Dokta mi nina sura mbaya sana.

DOKTA : Si kweli mi nakuona una sura nzuri tu.

MGONJWA : Lakini kila mtu ananicheka na miaka yote
wanasema mi mbaya

DOKTA : Sikiliza nakuhakikishia kuwa wewe unavutia kabisa.

MGONJWA:Dokta najua unanifurahisha tu mi najijua mi mbaya

DOKTA :Achana na maneno ya watu we mwanaume mzuri
kabisa wewe, unafaa hata kwenye matangazo ya mwanaume wa
ukweli.

MGONJWA:Dokta mi mwanamke bwana

DOKTA : UMESEMA?