tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, July 23, 2015

Farasi wako

Jost alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa mwiko uson na mkewe!

JOST: Vipi tena laazizi kulikon?

MKE: kwenye surual yako wakati najiandaa kuifua nikakuta kikaratasi kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?

JOST: aaah! wiki ilopita nlikuwa kweny mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa faras wangu yani farasi wangu aliitwa JENNY!

MKE: samahani mme wangu!

Siku ilofuata jost akiwa ameketi kwenye kochi huku akisoma gazeti, alishtukia tena mwiko wa uso "kwaaaa, kwaaaa!"

JOST: Uwiiiiiii! jaman laazizi kulikon tena?

MKE: faras wako kapiga simu!