tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, July 23, 2015

Mganga wa Kienyeji

Kuna mdada nimegombana nae wiki iliyopita. Sasa kachukua namba yangu kabandika kwenye mti eti MGANGA WA KIENYEJI TOKA SUMBAWANGA. Sasa napata simu nyingi za wateja kila sekunde......