tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, July 23, 2015

Ajira Mpya

Mume baada yakufika nyumbani toka kazini akiwa amechoka akamkuta mke wake kanuna

Mume: Una tatizo ganii mamaa?

Mke: Mme wangu kwa kweli tokea upate hii ajira mpya nakosa amani, Nilikua nakupenda sana lakini nashindwa kuvumilia. Naomba unieleze ni nani anaitwa Alarm anapiga simu kila siku alfajiri tu na wewe unaikata haraka ili nisiskie maongezi yenu?