tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, July 23, 2015

Ajira Mpya

Mume baada yakufika nyumbani toka kazini akiwa amechoka akamkuta mke wake kanuna

Mume: Una tatizo ganii mamaa?

Mke: Mme wangu kwa kweli tokea upate hii ajira mpya nakosa amani, Nilikua nakupenda sana lakini nashindwa kuvumilia. Naomba unieleze ni nani anaitwa Alarm anapiga simu kila siku alfajiri tu na wewe unaikata haraka ili nisiskie maongezi yenu?

Sosi zako

KWENYE DALADALA SIMU YA ABIRIA INAITA.

Abiria: hellow, hellow, mke wangu...sikusikii.

(Ikabidi awake loudspeaker ya simu)

Upande Wa Pili:

Mke sasa: Sosi zako umezivulia wapi? Nyumba nzima inanuka.

Mganga wa Kienyeji

Kuna mdada nimegombana nae wiki iliyopita. Sasa kachukua namba yangu kabandika kwenye mti eti MGANGA WA KIENYEJI TOKA SUMBAWANGA. Sasa napata simu nyingi za wateja kila sekunde......

Farasi wako

Jost alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa mwiko uson na mkewe!

JOST: Vipi tena laazizi kulikon?

MKE: kwenye surual yako wakati najiandaa kuifua nikakuta kikaratasi kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?

JOST: aaah! wiki ilopita nlikuwa kweny mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa faras wangu yani farasi wangu aliitwa JENNY!

MKE: samahani mme wangu!

Siku ilofuata jost akiwa ameketi kwenye kochi huku akisoma gazeti, alishtukia tena mwiko wa uso "kwaaaa, kwaaaa!"

JOST: Uwiiiiiii! jaman laazizi kulikon tena?

MKE: faras wako kapiga simu!

Sura mbaya

MGONJWA : Dokta mi nina sura mbaya sana.

DOKTA : Si kweli mi nakuona una sura nzuri tu.

MGONJWA : Lakini kila mtu ananicheka na miaka yote
wanasema mi mbaya

DOKTA : Sikiliza nakuhakikishia kuwa wewe unavutia kabisa.

MGONJWA:Dokta najua unanifurahisha tu mi najijua mi mbaya

DOKTA :Achana na maneno ya watu we mwanaume mzuri
kabisa wewe, unafaa hata kwenye matangazo ya mwanaume wa
ukweli.

MGONJWA:Dokta mi mwanamke bwana

DOKTA : UMESEMA?

nitumie pesa

Girl: Baby nitumie pesa
Boy: Ndioooo tumia zote
Girl: hujanielewa, nimesema nitumie pesa.
Boy: we ndio hujanielewa, nimekuambia we tumia tu, tumia zote.

Japanese couple

A Japanese couple argued heavily in public.
Husband: takamushi jiku.
Wife: hashi jiku mishihe.
Husband: inamoto kushini hatapi.
Wife: jejeta takuna mota shinita.
Husband: kituya sitina kutara.
Wife:saka weretuna joku.
Husband: ji taka mushi.
Wife: totori yatika muniya.
You are still reading as if you understand Japanese, be serious!!