tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, October 19, 2012

Samaki Samaki Mlimani City

Girl: Jost naomba unitoe out.
Jost: unataka nikupeleke wapi?
Girl: samaki samaki mliman city.
Hao safari mpaka mliman city,
Mhudumu: karibuni, niwahudumie nini?
Girl: niletee mihogo ya kukaanga na juisi ya kijoti.
Mhudumu: mh! Hebu ngoja kwanza nimsikilize mwenzio, wewe kaka?
Jost: mi kuna mtu namsubiri ameniambia tukutane hapa, but sio mbaya niletee Safari baridiiiiiii.