tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, January 21, 2013

nend­­a na usinipigie tena


1ST SCENE
JAMAA:"Mbona unajikuna sana kichwani swty?"
DEM:"Beib nywele zinaniwasha kweli."
JAMAA:"Itabidi uende salon(huku anatoa wallet mfukoni)
2ND SCENE
JAMAA:"Swity njoo home...nakungoj­a."
DEM:"Acha nichukue bus nakuja."
JAMAA:"Aaa chukua taxi,bus utachelewa."
DEM:"But beib..."
JAMAA:"But ya nini mrembo...we chukua taxi mi nitalipa."
DEM:"Ok beib am on ma way."
3RD SCENE
JAMAA:"Hi ma love morning,how was ur nyt?"
DEM:"Morning 2 u darling..it was gr8"
4TH SCENE
JAMAA:"Mbona kimya hun hata sms sioni?"
DEM:"Sina airtime."
JAMAA:"Acha nikimbie dukani nakusambazia credit sasa hivi hunny."
DEM"Sawah beib am waiting."
5TH SCENE
DEM:"Beib am going out 2nyt."
JAMAA:"Aaah usiende bana hao marafiki zako wa kike siwaamini,watak­­utafutia msela mwengine."
DEM:"Dont worry swty i only love u..mwaah "
*AFTER SEX*
1ST SCENE
JAMAA:"Acha kujikuna kichwa nawewe."
DEM:"Jamani beib nywele zinaniwasha."
JAMAA:"Unataraj­­ia nini kama huzisafishi lazima ziwashe."
DEM:"Eeh jamani ishakuwa hivyo hunny."
JAMAA:"Si unyoe tu nikupe 2000 uende kunyoa?"
2ND SCENE
DEM:"Swty uko home nije?"
JAMAA:"Yep panda bus hapo uje..fanya haraka coz nataka kutoka."
DEM:"Lo! haya ma dear nakuja."
3RD SCENE
DEM:"U ok beib,yaani toka asubuhi hujanitext."
JAMAA:"Pole nilikuwa busy sana..sina tym ya kutext ovyo ovyo."
4TH SCENE
DEM:"Nitumie credit tuchat."
JAMAA:"kwani tafadhari nipigie ni ya kazi gani,waambie tigo watakupa."
DEM:"Tobaa...po­­a tu."
5TH SCENEDEM:"Beib am going out."
JAMAA:"Najua unaenda kutafuta mwengine...nend­­a na usinipigie tena!!"
by Elvis Iravonga Man-Utd (Facebook name)