tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, October 15, 2012

Mvuta bangi mmoja

Mvuta bangi mmoja alikwenda kijiweni akiwa uchi. 

Akawauliza masela

"suti yangu imenipendeza eeh? "

Wakamjibu 

"ndiyo, ila tai umeivaa chini sana!"