tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, January 5, 2011

Mpare aliyeweka pesa benki

Kuna Mpare mmoja anaishi karibu na Benki, baada ya kushawishiwa kwa
muda mrefu na ndugu na marafiki zake aweke pesa Benki kwa usalama wa
pesa zake, kwa taabu sana akakubali kuweka pesa Benki. Kuanzia siku
hiyo alizoweka hizo pesa, usiku kucha anakesha dirishani na filimbi
mdomoni, kila akipita mtu karibu na hiyo Benki, Mpare wa watu anapiga
filimbi kuwaamsha walinzi piii... piiiii....! Wote woga anaogopa,
asije mtu akaiba pesa zake....!