tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, January 5, 2011

MCHAGGA NI YUPI HASA?

There is no Chagga tribe but just different groups of people living on
the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following
characteristics:

WAMACHAME (Business entrepreneurs) Huwezi kujua nani mwanamke na ni
nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa
inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu"
Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni
kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP! Hapo shilingi
Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongezandio uendelee. Yahye,
unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke
Kapati la mbeho!

WAKIBOSHO (Specialized bandits) Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe
utawasikia hivi"Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi
amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi,
ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa
fitenge file fya Kongo. Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama
wanamwambia " Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo
pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!

WAURU (The Elites)Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule
tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70
bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha
wajukuu zake wote: "Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati
nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao
hasa wazungu tangu chekechea.Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu.
Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni
wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa
mbege.Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!

WA OLD MOSHI (The Mechanics)!Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule
kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.Taabu, Wanaume ni
wabishi! Kama mkia wa mbuzi!Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na
Gongonyingiiiiiiiii iiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)

WAMARANGU (The handsome liars)!Wanaume wote ni waongo. Actually kuna
somola "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both
wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.Kwa Mmarangu halisi, kwanza
ananunua gari, anachapamaisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya
nyumbainamshinda ni jambo la kawaida.

WAROMBO: (The salesmen)!Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa
Jeshi!Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa
Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970. Watafutaji wa pesa!!!! We acha
tu. Wahindi hawaoni ndani!Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia
Kenya kupitia Tarakea.Ushauri wa bure! Rafiki yangu uamue mwenyewe
lakini kwa ushaurimwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo
(wachapakazi) . Chaguo ni lako