tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Tuesday, November 23, 2010

Mswaki

Siku moja mwanafunzi mmoja katika hostel fulani walikuwa wanashea friji. Ikawa kila akiweka maji ya kunywa anakuta wamekunywa. Akabuni lake siku nyingine akaweka maji yake kama kawaida yake na akatumbukizia mswaki ndani yake ili mwizi wa maji yake ashindwe kunywa. Baadae jioni aliporudi akakuta mswaki wa pili ndani yake.