tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Tuesday, November 23, 2010

kipimo Kabla ya ndoa

Kaka mmoja kabla hajaoa dada wa mchumba wake alimuita kwenye maongezi kwa wake zake. Alipofika akamkuta shemeji yake peke yake (dada).

Yule dada akamwambia anaomba afanye nae mapenzi kabla hajamuoa dada ake na kumuambia amfute chumbani jamaa amfuate nyuma.

Jamaa akafikiria kwa muda na kuamua kwenda nje. Huko akakutana na wazazi wakwe wakamwambia 'wow umefaulu kishawishi, karibu kwenye familia yetu'

Jamaa akajibu  nilikuwa nimesahau condom kwenye gari, ndio nazifuata.