ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.
Monday, November 8, 2010
Mlevi
Mapacha wawili walienda bar, pembeni kulikuwa na mlevi amelewa alipowaangalia akasema "holly shit i think i see everthing double!"