Baba, mtoto wake na jiran yao,walikuwa wawindaji wa wanyawa
pori, kwa kutumia mtego mkubwa wa nyavu (IKILA). Kawaida ya mtego huo mmoja
akae mwishoni mwa urefu na mwingine nae mwshoni vilevlie. Sasa mzee akawa atatafuta
wanyama kila kichaka, bahati nzuir akatokea mnyama aina ya NGIRI, mnyama huyu
huwa ana meno mawili yaliyo tokokeza nje, akaelekezwa na mzee kwnye mtego, akalenga
upande wa mtoto, badala ya kumuuwa, akamkwepa. Alpoulizwa vipi wewe? kasema,
mnyama mwenyewe alikuwa anacheka, mi nikadhani yawezekana kuna maelewano
wamekubaliana na baba.