tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, May 6, 2013

Kuruka GETI

John ni chizi katika hospital ya mirembe kwa muda wa miaka 7, alipoamua kutoroka alifanya mazoezi ya kuruka ukuta kwa geti kwa miezi mitano, siku ya kutotora aliwaaga marafiki zake, baada ya muda akarudi wakamuuliza vipi? akajibu nimekuta geti lipo wazi nimeshindwa kuruka, wenzie wakamuambia sasa si ungelifunga ili uruke? akawajibu, nilitaka kulifunga lakini sikuona funguo, nimejaribu kumtafuta mlinzi mpaka kule nje vichakani lakini sijamuona.