tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, May 13, 2013

mbona leo unaninyanyua

Jost alitoka kanisani alivofika nyumbani akaanza kumkumbatia mke wake na kumnyanyua juu, mke wake akauliza vipi honey mbona leo unaninyanyua na si kawaida yako? Jost akajibu..leo mchungaji amesema tuyanyanyue matatzo yetu juu kwa bwana.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania