tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, July 4, 2011

utajua unakoenda

Jost aliingia nyumani kwake akipiga kelele za furaha sana akisema "yes, nimeshinda bahati nasibu ya milioni 100"
Mkewe akaitikia kwa kelele za furaha na kuuliza kwa hiyo nifungashe mabegi kwa safari ya wapi, Zanzibar, au mbuga za wanyama za serengeti?
Jost: Utajua unakoenda, ilimradi nisikuone tena.