tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, July 4, 2011

baba na mchumba wa kijana wake

kijana mmoja alimpeleka mchumba wake kumtambulisha nyumbani kwao. Alipofika tu baba yake akagundua kasoro, maana binti alikuwa mweusi sana, ana matege ya ndani na makengeza makali.
Msichana kuona hali si nzuri kwa baba mkwe ilibidi atafute njia mbinu ya kumvutia. akatabasamu kidogo, lahaula! kwani alikuwa na mapengo hana meno yote ya mbele, baba ilibidi aamue kumuita kijana wake pembeni ili waongee.
Baba: kijana wangu hepu twende nje kidogo
Kijana: Baba sema tu hapahapa mchumba wangu ni kiziwi.