tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, July 4, 2011

Tatizo lipo wapi?

Jost alikwenda baa, akiwa mnyoge sana. mhudumu mmoja anayemudumia mara kwa mara akamuuliza; vipi mbona leo mnyonge sana?
Jost: unajua nina pesa nyingi sana, nina nyumba nzuri, na juzi tu nimempata mwanamke mzuri sana, ninampenda sana.
Mhudumu: sasa tatizo lipo wapi?
Jost: tatizo mke wangu ameshagundua vyote hivyo.