tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, July 4, 2011

utajua unakoenda

Jost aliingia nyumani kwake akipiga kelele za furaha sana akisema "yes, nimeshinda bahati nasibu ya milioni 100"
Mkewe akaitikia kwa kelele za furaha na kuuliza kwa hiyo nifungashe mabegi kwa safari ya wapi, Zanzibar, au mbuga za wanyama za serengeti?
Jost: Utajua unakoenda, ilimradi nisikuone tena.

Tatizo lipo wapi?

Jost alikwenda baa, akiwa mnyoge sana. mhudumu mmoja anayemudumia mara kwa mara akamuuliza; vipi mbona leo mnyonge sana?
Jost: unajua nina pesa nyingi sana, nina nyumba nzuri, na juzi tu nimempata mwanamke mzuri sana, ninampenda sana.
Mhudumu: sasa tatizo lipo wapi?
Jost: tatizo mke wangu ameshagundua vyote hivyo.

baba na mchumba wa kijana wake

kijana mmoja alimpeleka mchumba wake kumtambulisha nyumbani kwao. Alipofika tu baba yake akagundua kasoro, maana binti alikuwa mweusi sana, ana matege ya ndani na makengeza makali.
Msichana kuona hali si nzuri kwa baba mkwe ilibidi atafute njia mbinu ya kumvutia. akatabasamu kidogo, lahaula! kwani alikuwa na mapengo hana meno yote ya mbele, baba ilibidi aamue kumuita kijana wake pembeni ili waongee.
Baba: kijana wangu hepu twende nje kidogo
Kijana: Baba sema tu hapahapa mchumba wangu ni kiziwi.

Mtaji au Faida

Baba mmoja alikuwa anakabiliwa na kesi ya kumbaka bintiye, kesi ilikuwa hivi;
Hakimu: Mtuhumiwa unashitakiwa kwa kosa la kumuingilia binti yako kimwili kwa nguvu. Je ni kweli?
Mtuhumiwa: ndio hakimu ni kweli.
Hakimu: kwa nini ulitenda kosa hilo?
Mtuhumiwa: Ninaruhusiwa kutoa ufafanuzi na kuuliza swali?
Hakimu: Ruksa kama unaweza
Mtuhumiwa: Asante sana kwa kunipa nafasi hii hakimu, napenda kuuliza kuuliza kwa mfano umeanzisha biashara,ukauza ukapata faida wakati unaendeleakufanya biashara likatokea tatizo katika biashara ili kuimarisha biashara yako utachukuwa mtaji au faida?
Hakimu kimya.