tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Tuesday, June 7, 2011

Mpemba alianza kwa . . . .

Jamaa mmoja wa kipemba ambaye alikuwa hajawahi kupanda gari hata siku moja, alikuwa anasafiri kwa kutumia basi na kuamua kukaa kiti cha mbele kabisa karibu na dereva. kwa bahati mbaya dereva akasababisha ajali akafikishwa mahakamani, shahidi akawa mpemba.
Mpemba alianza kwa kusema; "tangu safari yaanza nkajua kuwa huyu si dereva. maana kunalijiti akikazana kuling'oaa (wakati dereva akiingiza gia) halafu akawa hatuliz nkono ikintetema saa zote (akizungusha usukani) njiani ni mbio tu kwa kufukuzana na miti, miti yenda  na sie twenda. niliposikia puu nkajua tayari ivooo, miti ishatugonga au sie tushaigonga.