tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Tuesday, June 7, 2011

sumu ya kumuua mtoto

Baba Ally aliona mkewe amepunguza mapenzi kwake, na ni baada ya mke wake kujifungua mtoto. basi akamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto. Akaamka mapema akampaka mkewe sumu kwenye maziwa ili mtoto akinyonya afe. akaondoka zake kwenda kazini, aliporudi akakuta houseboy kafa.