ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.
Thursday, February 11, 2016
Usikate miti
Je wajua??? Binadamu ndio kiumbe pekee awezaye kukata miti akatengeneza karatasi kisha juu ya karatasi akaandika "USIKATE MITI"