tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, January 21, 2013

mjinga wewe kumbe huna hela


Jason: Mna chakula gani?
Waiter: Kuku, nyama, njahi, pilau,
na kadhalika.
Jason: Kuku ni wa kienyeji eh?
Spendi wakisasa.
Waiter: Ni wa kienyeji
Jason: Nyama ni choma au
Wa mchuzi
Waiter: wote wapo hata wakuokwa...
Jason: Ni soft, unajua meno
yangu hayataki vitu ngumu
Waiter: Ni soft kabisa
Jason: Na soda ni shilling ngapi?
Waiter: Ni 600
Jason: Hata kama sibebi
chupa?
Waiter: Ni hiyo bei tu.
Jason: kachumbari ni bure?
Waiter: ndiyo
Jason: Basi nipe kachumbari na glass ya maji.
Waiter: samahani kachumbari imekwisha
Jason: Nipe maji tu basi.
Waiter: mjinga wewe kumbe huna hela..
by Elvis Iravonga Man-Utd (facebook name)