tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, November 2, 2013

ULEVI NI NOMA

Mlevi mmoja aliingia kwenye daladala na kukaa siti ya mbele, akaweka begi lake kwenye siti kulia kwake kisha akalala. Baada ya muda akaingia mlevi mwingine akatoa lile begi, akaketi yeye...naye akalala. Mlevi wa kwanza alipoamka bila kuangalia akafungua zipu ya mlevi mwenzake akijua anafungua begi lake...Akaanza kupapasa ndani, kwa hasira akauliza, 
"NANI KAWEKA NDIZI MOJA, NYANYA MBILI NA STEELWIRE KWENYE BEGI LANGU!!"