tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Sunday, February 19, 2012

wawindaji

Kuna jamaa
wawili,walikwenda
kuwinda,mmoja alikuwa
mtaalamu wa kulenga
mwingine wa
kuchuna,mtaalam wa
kuchuna alibaki garini na
mwenzake akashuka
kuwinda,anakatiza
kichakani mara simba
huyoooo!ikabidi jamaa
aanze kukimbia vibaya mno
huku akipiga kelele fungu
fungua......,mwenzake
akafungua mlango wa gari,
jamaa anakaribia mlangoni
huku simba akiwa
nyuma,simba
akarmrukia,bahati mbaya
jamaa akaanguka
chini,simba akajikuta ndani
ya gari,jamaa akaamka
fasta akafunga mlango na
kumwambia
mwenzake,''ANZA
KUMCHUNA NAKWENDA
KULETA MWINGINE''......