tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, April 23, 2011

sahani zinamzuia asionekane

jamaa ni mfupi mpaka ameamuwa kwenda kuwashukuru watu walio gundua kutunza kumbukumbu, alivyo mfupi kwao wangesha msahau maana hata akipanda juu ya meza wakati wanakula sahani zinamzuia asionekane.