tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, April 15, 2011

OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?


Kampuni moja kapla ya kuajiri wafayakazi wapya ilimamua kuwauliza maswali ya ufahamu,marafiki wawili ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie majibu ya maswali atakayo ulizwa.
Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na wanafunzi walishagundua kuwa maswali yalikuwa yakijirudia basi yule jamaa aliyeingia wa kwanza alipotoka akaamua kummezesha mwenzie majibu tu.
SWALI LA 1 BY PROF: WHEN WAS TANZANIA INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: IT WAS SUPPOSED TO BE 1960 BUT IT POSTPONED TO 1961 DUE TO MANY REASONS.
SWALI LA 2 BY PROF: WHO BROUGHT INDEPENDENCE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 BY PROF: IT BELIEVES THAT IN MARS THERE ARE LIVING THINGS,DO YOU BELIEVE?
JIBU LA BRIGHT STUDENT: SOME SAY YES, SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.

Sasa alipoingia yule kijana ambaye uwezo wake darasani haukuwa mzuri na kwakuwa alikuwa amekariri majibu tu ilikuwa ni patashika humo ndani ya chumba cha mtihani.
SWALI LA 1 BY PROF: WHEN WERE YOU BORN?
JIBU LA STUDENT MJINGA: IT WAS SUPPOSE TO BE 1960 BUT POSTPONED TO 1961.
SWALI LA RPOF: WHAT?!!!!!!!!!!! WHO IS YOUR FATHER BY THE WAY.
JIBU LA STUDENT MJINGA: SO MANY PERTICIPATED BUT IT WAS MWALIMU NYERERE AND KAWAWA WHO FINALISED IT.
SWALI LA 3 BY PROF: OHHHHHH MY GOD! ARE YOU CRAZY?
JIBU LA STUDENT MJINGA: SOME SAY YES,SOME SAY NO BUT SCIENTISTS ARE STILL INVESTIGETING.