tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, May 19, 2012

anaefanya kazi kwa Mungu

Mchungaji alikwenda kumtembelea muumini wake, akagonga mlango mtoto wa muumini akafungua mlango," Hujambo mtoto? Mama yako yupo? Hebu mwite"  (Mtoto akaita kwa nguvu),'Mama mama yule anaefanya kazi kwa Mungu kaja.