tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Sunday, January 29, 2012

ukiona dalili hizi mwahishe hospitali mapema.

1...kapanda daladala siti ya mbeli
karibia na dreva halafu ana
mwambia konda shusha
2...ku brash viatu wakati unaenda
kupiga picha ya passport size
3...kumwamsha mgonjwa ili umpe
dawa ya usingizi
4...kupunguza sauti ya redio ili
usome sms
5...kupanda kitandani halafu
ukasahau kama ndo una amka au
una lala
6...kukaa mezani unawaza huku
unagonga gonga meza halafu
ukashtuka ukaenda kufungua
mlango kumbe ni wee ndo
ulikuwa unagonga