tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, October 2, 2015

Chozi la mwanamke

Usimfanye mwanamke akalia, chozi la mwanamke
ni la gharama sana. Tone moja tu la chozi lake
linatoka na:
Kwanza linachanganyika na eye liner ya 45,000,
na mascara ya 63,000 halafu likifika kwenye
mashavu inachanganyika na foundation 220,000
na poda ya 37,000, na hatimaye likigusa midomo
inachanganyikana na lipstick 79,000 na lip gloss
14,000. Chozi moja tu la mwanamke linaondoka
na sh. 458,000 So plz usimlize mwanamke.
Lakini unaweza kumliza mwanaume utaondoa tu
vaseline ya mgando ya sh 2,500.