Jost: Dada Mambo?
Chaupele: Powa.
Jost: Samahani, nimevutia na wewe nataka tuwe marafiki, Hivi Uko Facebook?
Chaupele: Hapana.
Jost: Twitter?
Chaupele: Sipo.
Jost: Whatsap?
Chaupele: Sipo.
Jost: Instagram?
Chaupele: Sipo.
Jost: Eeeeh Sasa upo kwenye mtandao gani sasa?
Chaupele: Niko M-pesa na tigo pesa.
tangazo one
Abidal
karibuni
ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.
Wednesday, September 24, 2014
Wednesday, September 17, 2014
huna uwezo wa kupata mimba
Binti mmoja aliamua kwenda kwa dakitari baada ya kuona
hapati mimba, alipofika na baada ya vipimo.
Dakitari: binti inaonyesha wewe ni mgumba kwa hiyo huna
uwezo wa kupata mimba.
Binti: jamaniii (huku akianza kutokwa na machozi).
Dakitari: usilie ngoja tujaribu kuangalia chanzo cha tatizo ni
nini tuone kama kuna msaada.
Binti: naomba unisaidie.
Dakitari: usijali, lakini hili tatizo linaweza kuwa la
kurithi, kwani mama yako aliwahi kuzaa?
Binti: sijui labda nikamuulize.
Dakitari: …………….
Binti:……………
Chaupele
Jost: mambo mrembo, mbona kimya?
Chaupele: unanitaka unagari lakini?
Jost: gari?
Chaupele: ndio gari.
Jost: sina gari.
Chaupele: basi acha kunifuata fuata hunifai
Jost: vipi kwani we unalo?
Chaupele: sina gari.
Jost: una sehemu ya kuosha magari au garage?
Chaupele: sina
Jost: baba yako analo gari?
Chaupele: Hana gari.
Jost: sasa wewe mazoea ya kupanda gari umeyatoa wapi?
Chaupele: nyooooo….. mbwa weee unikome!
baba ni mbahili sana
Baba alikuwa na tabia ya kulala na dada wa kazi, siku moja
mtoto wake wa kiume akamfumania:
Baba: Mwanangu, ebu chukua hii Shs 500 halafu usimuambie
mama yako kuwa nimelala na dada.
Mtoto: sitaki, we baba ni mbahili sana, mbona mama akilala
na mlinzi ananipaga Shs. 1,000?
Subscribe to:
Posts (Atom)